Chorus
Mwokozi amezaliwa
Tufurahi tuimbe aleluya tumshangilie tufurahin(Leo) Tumwimbie, Tumwimbie nyimbo za Shangwen(Za shangwe) aleluya
Verse 2
Ni Mkombozi wetu sisi wanadamu,
Amekuja kwetu kututoa katika utumwa wa Shetani *2
Verse 3
Ni siku nzuri ya wokovu tufurahi
Mwokozi amezaliwa aleluya *2
Verse 4
Bwana wake Mungu anayeondoa dhambi za dunia
Kaa nasi Yesu katika maisha leo na milele