Verse 1
{ Mwimbieni Bwana Mungu - mwimbieni wimbo mpya
Mwimbieni wimbo mpya - aliyetujalia } *2
Chorus
Sifa kwako ee Bwana wanipenda sana
Nitakushukuru kwa nyimbo nzuri e Bwana *2
Verse 3
{ Shukuruni Bwana Mungu - katujali siku zote
Katujalia siku zote - asante Bwana Mungu } *2