Verse 1
Mwimbeni binti sayuni, ee watu
Yuaja ni mwenye upole
Tazama ufalme wake yuaja kwetu
Kapanda punda mwanapunda
Chorus
Sauti, tuimbe, hosanna *2n
Na zipazwe leo na tumwimbie (Yesu)
Hosanna hosanna
Mwokozi, anawaita nyumbani, wana Daudin(Yesu) amekuja kwa jina la Bwana
Wanamwimbia (Yesu)
Verse 3
Tandikeni nguo zenu, Bwana apite
Mbarikiwa anakuja
Pambazeni njia kwa maua mazuri
Mbarikiwa anakuja
Verse 4
Fungueni mioyo yenu kwake,
Apate kuingia ndani
Mpokeeni Bwana mioyoni mwenu
Bwana mwenye upole mwingi