SectionsEucharistMwili Wako Yesu Mwema

Mwili Wako Yesu Mwema

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Mwili wako Yesu mwema unatushibisha

Damu yako hakika inatuburudisha

Verse 2

Mema yote tunayoyapata maishani

Yanatuonya imani twatambua kuwa

Verse 3

Mbali nawe tunayo makubwa masumbuko

Twaja kwako kutulizwa kwa kuwa twajua

Verse 4

Ni bahati kushinda ile ya malaika

Na wanadamu kumla Bwana twashukuru kwani

Verse 5

Mapendo uliyotuonyesha msalabani

Yanashinda ufahamu kwetu sisi kweli

Verse 6

Na baadaye tukisha kupita uzima huu

Utupokee Mbinguni tufurahi nawe