Verse 1
[s] Mwili wa Yesu kweli ni tamu sana,n[w] Mwili wa Yesu kweli ni tamu sana,
Chorus
[s] Twendeni wote tukale mwilin[w] Twendeni wote tukanywe damu.
Sasa,Twendeni tukale mwili
Sasa, Twendeni tukanywe damu
Verse 3
Damu ya Yesu kweli ni tamu sana *2
Verse 4
Mwakaribishwa wote kwa mwili wake *2
Verse 5
Mwakaribishwa wote kwa damu yake *2