SectionsEucharistMwili Wa Bwana Yesu

Mwili Wa Bwana Yesu

Ordinary Time,LentEucharist
Verse 1

[(Mwili wa Bwana Yesu) chakula cha mbingu,n(ni chakula cha roho) chenye uzima] *2

Hima uwe nasi ee Bwana Yesu,nukatushibishe chakula boran{Ni chakula cha roho chenye uzima} *2

Verse 2

[(Yesu alitwambia) yeye ni chakula,n(ni chakula cha roho) chenye uzima] *2

Anilaye mimi na kuinywa damu, anaonuzima wa siku zoten(Ni chakula cha roho chenye uzima) *2n

Verse 3

{(Yesu alitwambia) kwamba tumpokee,n(ni chakula cha roho) chenye uzima} *2

Sote twaamini ni mwili wake, piantwaamini ni damu yaken(Ni chakula cha roho chenye uzima) *2

Verse 4

[(Hii ndio karamu) aliotuachia,n(ni chakula cha roho) chenye uzima] *2

Ee Bwana Mwokozi tunakuomba, kwanchakula hiki tuimariken(Ni chakula cha roho chenye uzima) *2