SectionsEntranceMwanadamu Kumbuka

Mwanadamu Kumbuka

LentEntrance
Chorus

Mwanadamu kumbuka u mavumbi wewe

Na mavumbini utarudi

Verse 2

Ardhi imeelaaniwa kwa ajili yako

Kwa uchungu takula mazao yake

Verse 3

Michongoma na miiba itakuzalia

Nawe utakula mboga za bondeni

Verse 4

Kwa jasho la uso wako utakula

Hata utakapoirudia ardhi

Verse 5

Kwa maana wewe u mavumbi

Na mavumbini utarudi