Chorus
Mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu) amezaliwa (amezaliwa)
Yeye ni Mungu (Yeye Mungu) tukamwabudu
Verse 2
Mwana wa Mungu kashuka kwetu
Yeye ni Mungu tukamwabudu
Verse 3
Kitoto Yesu yuko pangoni
Yeye ni Mungu tukamwabudu
Verse 4
Haya twendeni pale alipo
Yeye ni Mungu tukamwabudu