1 section
Lamb of God
Agnus Dei
(Mwanako-ondoo wa Mungu uu,
Mwana wa Baba aa )*2
Uondoaye makosa yetu Utuhurumie ee *2
Mwanakondoo wa Mungu uu ... ...
Twaomba kwa Mwanakondoo uondoaye dhambi
Dhambi za ulimwengu huu, utupe amani ee