SectionsExitMwalimu Tazama

Mwalimu Tazama

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Mwalimu, tazama,nhuyu amepatikana ana dhambinanapaswa kupigwa mawe

Kama sheria ilivyoandikwanna yapaswa yeye kufa mawe

Chorus

[b] Bwana Yesu akaseman|s| Ni nani yeye asiye na dhambi ampige jiwe *2

Ni nani yeye nasema ni nanii*2

Chorus

|a| Ni nani yeye asiye na dhambi ampige jiwe *2

Hakuna nasema, hakuna nasema *2

Chorus

|t| Ni nani yeye asiye na dhambi ampige jiwe *4

Chorus

|b| Ni nani yeye asiye na dhambi ampige jiwe

Ni nani yeye ni nani ni nani, ni nani ni nani

Ni nani, ni nani ni nani, ni nani ni nani*2

Chorus

Wa -ka -shi -kwa -na -bu -twa -a!

Wakayatupa mawe chini na kwa aibu wakaenda zao

Verse 7

Walitazama tazama, hakukuwa naye mtu

Aliyekuwa tayari aweze kurusha jiwe

Yesu naye akasema, kamwambia mama yule

Inuka uende zako, usitende dhambi tena

Verse 8

Somo hili lafundisha na sisi tusiwe mbele

Kuwahukumu wenzetu, kujiona sisi wema

Tujinyenyekeze chini, tusijinyanyue juu

Yeye Mungu mwenye haki atatusamehe dhambi