Verse 1
Mwalimu mwalimu hebu tazama tazama tazama
Jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo mazuri
Chorus
[b] Naye mwalimu akasema -n[w] {Hakuna hata kimoja kitakachosalia (humu)
Tarumbeta yake Bwana itakapolia,n(vyote) Vitabomolewa vitabomolewa, siku hiyo inakuja} *2
Verse 3
Kesheni kesheni msije ingia majaribuni
Kesheni kesheni Bwana asiwakute mmelala.
Verse 4
Zitubuni dhambi kwa unyenyekevu ili muokoke
Kemeeni anasa pia nayo matendo machafu.
Verse 5
Saidieni maskini pia na wote wajane
Msipende kulipwa kwa yale yote mnayoyatenda