Chorus
{ [ b ] Mvua inarutubisha vitu vyoten[ w ] Mvua inarutubisha vitu vyotenhe! he! he! he! he! ( vitu vyote )nhe! he! he! he! he! vitu vyo-te } *2n[ s/a ] Mimea inastawi kwa kupata mvuan{ Na-si binadamu tunakula na kushiba
Mile-le binadamu tunakula na kushibankwa uweza wa Mungu } *2
Verse 2
[ s ] Tunapata mazao mengi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu
Verse 3
Tunapata chakula kingi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu
Verse 4
Tunapumua na kusema kwa uwezo wa Mungu
Tunaimba na kucheza kwa uwezo wa Mungu