SectionsThanksgivingMuziki Uliokamatana

Muziki Uliokamatana

Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Sifa kwa Mungu, alyeruhusu yafanyike haya

Sifa kwa Bwana, aliyesema yafanyike haya

Akatupa sauti aee tuimbe tumtukuze

Na vipaji aee tuimbe tumsifu

Sifa kwa Mungu aliyeruhusu yafanyike haya aaha

Verse 2

Kaumba kinanda Mungu eehe

Aha kayamba na ala zote ee ameumba yeye

Verse 3

Watunzi wa nyimbo wote eehe

Waimbaji sisi sote ee katuumba yeye

Verse 4

Wapiga vinanda wote eehe

Wapigao ngoma wote ee kawaumba yeye

Verse 5

Aee ehe, aeeh tuimbe (tumtukuze) * 4

Tumpigie muziki, uliopangwa na kukamatana

Muziki mtakatifu, uliopangwa na kukamatana

Kwa karama alizotujaza, uliopangwa na kukamatana

Tumpigie muziki uliopangwa na kukamatana, kamatana, kamatana!