Mungu Yulee

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Advent,Advent,Advent,Advent,Baptism,Baptism,Lent,Lent,BaptismThanksgiving
Chorus

{Nimemuona yule ninayemtafuta nanneema zake, nimemuona leo nimemuona

Mungu) x2. Mkononi mwake ana uzimantena ni wa milele, mkononi mwake ananuzima ninaoutafuta, na uzima huo anatoanbure kwa walio tayari, lakini kuna kanuninmoja ya kwamba, uwajali watu.

Verse 2

Nimemuona Mungu yu mtupu u hana nguon- anatamani mimi niende nikamvishe

Nimemuona Mungu ana njaa hana chakulan- anatamani mimi niende nikamlishe

Nimemuona Mungu ni mgonjwa a kitandanin- anatamani mimi niende kumtazama

Verse 3

Nimemuona Mungu amefungwa a gerezanin- anatamani mimi niende kumfariji

Nimemuona Mungu ni mkimbizi mpakanin - anatamani mimi niende kumpokea

Nimemuona Mungu ni yatima hana wazazin- anatamani mimi niende nikamtunze

Verse 4

Nimemuona Mungu ni mjane hana matunzon- anatamani mimi niende kumhifadhi

Nimemuona Mungu amefwa ana majonzin- anatamani mimi niende kumfariji

Nimemuona Mungu ni kilema na hajiwezin- anatamani mimi niende kumuinua

Verse 5

Nimemuona Mungu atolewa angali mimban- anatamani mimi niende kumtetea

Nimemuona Mungu anapigwa kwa makomboran- anatamani mimi niende suluhisha

Nimemuona Mungu ni mtumwa ananyanyaswan- anatamani mimi niende kumtetean