Mungu Wangu Usimame
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Mungu wangu usimame liangalie taifa lako
Wote wamekusanyika kukutolea wewe shukurani
Verse 2
Vijana hata na wazee wote wanakutukuza wewe
Wanaimba kwa furaha na shangwe pia vigelegele
Nyimbo zao waimba hata mawe pande zote za nchi
Verse 3
Watoto, baba na mama wanalitukuza jina lako
Wanacheza ngoma pia na vinanda matari na vinubi
Nia ni kukutukuza wewe Mwokozi wa dunia