Mungu Wangu Mungu Wangu Mbona Umeniacha
Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,EasterEntrance
Chorus
Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha
Verse 2
Wote wanionao huncheka sana
Hunifyonya watikisa vichwa vyao husemanhutegemea Bwana na amponye
Na amwokoe sasa maana apendezwa na yeye
Verse 3
Kwa maana mbwa wamenizunguka
Kusanyiko la waovu wamenisonga
Yamenizua mikono na miguu
Naweza kuihesabu mifupa
Verse 4
Wanagawanya nguo zangu
Na vazi wanalipigia kura
Nawe usiwe mbali
Ee Mungu wangu fanya haraka kunisaidia
Verse 5
Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu
Katikati ya kusanyiko nitakusifu
Ninyi mnaomcha Bwana, msifuni
Enyi nyote mlio wazao wa Yakobo mtukuzeni.