Chorus
Mungu unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe
Unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe
Verse 2
Bwana ndiye fungu, fungu la posho langu
Wewe unaishika kula yangu
Verse 3
Nimeweka Bwana mbele yangu daima
Yuko kuumeni kwangu sitaondoshwa
Verse 4
Moyo wangu Bwana, na unafurahi
Nao mwili unakaa kwa matumaini