Mungu Ni Mwema
Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
{Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu } *2
Verse 2
Ameniumba kwa sura yake,
Kanileta hapa duniani
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
Verse 3
Ananilinda mchana usiku
Na siku zote yuko na mimi
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
Verse 4
Ametmtuma mwanaye Yesu
Kuja unikomboa dhambini
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
Verse 5
Ametesa vikali sana
Hata akafa msalabani
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
Verse 6
Japo kweli mimi ni mdhambi
Bali yeye anipenda mimi
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu