Mungu Muumba Twakutolea
Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1
{ Mungu Muumba twakutolea sadaka safi ee Baba pokea } *2
Chorus
Sadaka, ee Baba pokea *2
Tunakutolea sadaka safi *2
Sadaka, ee Baba pokea *2
Verse 3
Mkate huu uwe mfano wa mwili wako ee Baba pokea
Verse 4
Divai hii iwe ishara ya damu yako ee Baba pokea
Verse 5
Na fedha zetu za mifukoni twakutolea . . .
Verse 6
Maisha yetu kwa roho safi twakutolea . . .
Verse 7
Mazao yetu ya mashambani twakutolea . . .
Verse 8
Matendo yetu mateso yetu twakutolea . . .
Verse 9
Furaha yetu uchungu wetu twakutolea . . .
Verse 10
Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako . . .