SectionsEntranceMungu Mmoja

Mungu Mmoja

Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,PentecostalEntrance
Chorus

Mungu mmoja katika nafsi tatu mamoja, ni fumbo kubwa *2n{ (Kuwa Mungu) Mungu Baba (Mungu) Mungu mwanan(Mungu) Roho Mtakatifu, Mungu mmoja } *2

Verse 2

Usifiwe Utatu Mtakatifu, Mungu Baba Mungu Mwana

Na Roho Mtakatifu, milele na milele

Verse 3

Usifiwe Mungu Baba yetu, Mungu Muumba mpaji

Umeziumba mbingu, nchi na vitu vyote

Verse 4

Usifiwe Mungu Mwana Mwokozi, Mungu kweli mtu kweli

Uliyetukomboa, kutoka utumwani

Verse 5

Usifiwe Roho Mtakatifu, mwalimu kiongozi

Mgavi wa vipaji, pia mfariji wetu