SectionsEntranceMungu Kaniita

Mungu Kaniita

Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Lent,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Tazama Mungu kaniita kati yao wanyongennimtumikie yeye

Tazama amenichagua kati ya viumbennimuimbie yeyen{Nitashangilia, sitaona haya,nnitaruka kama ndama a haa

Nami nitayatangaza bila woganmatendo yake kwa mataifa } *2

Verse 2

Mungu amenichagua, mimi amenichagua

Tena akanitakasa na kunibariki, nimuimbie

Verse 3

Furaha yangu kubwa, hii ni kuimba Nimwimbie

Mungu wangu nyakati hizi za ujana ujana wangu

Verse 4

Tujalie ujasiri, uvumilivu, wa kutangaza

Neno lako Mungu kwao mataifa, wakufuate.

Verse 5

Natarajia ushindi, siku ya mwisho, Nishangilie

Na nifurahiye utukufu wako, milele yote