Chorus
Tazama Mungu hatamtupa mtu mkamilifu
Tazama tazama tazama tazama *2
Tazama Mungu-tazama, tazama hatamtupa mkamilifu
Tazama tazama-tazama, atamtoa tazama
Verse 2
Tazama Mungu tazama, wala hatawathibitisha
Wale wote watendao, watendao uovu
Verse 3
Bwana atakijaza kinywa chako kicheko
Na midomo yako ataijazaza shangwe
Verse 4
Wewe ukimtafuta Mungu kwa bidii
Na kumsihi mwenyezi tazama, tazama