SectionsExitMtunze Ndoa

Mtunze Ndoa

Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,WeddingExit
Chorus

Mungu amewaunganishan{ Mtunze ndoa hii yenu (kwa mapendo)

Mtunze ndoa hii yenu, mwanga wenu upendano } *2

Verse 2

Mbele ya kanisa lake Mungu - mmeunganishwa ninyi

Pendo na amani ziwe kwenu - ndoa itakate hima

Verse 3

Mume umpende mke wako - iwe fumbo lako tuzo

Mke umtunze mume wako - mbinguni katunukiwa.

Verse 4

Vita na ugomvi vijitenge - omba radhi ukosapo

Choyo na anasa visiwepo - mwanga wenu upendano

Verse 5

Nyumba ya amani lengo lenu - Kristu tegemeo lenu

Ndoa ni patano takatifu - timilifu kwake Mungu

Verse 6

Mungu awajaze neema zake -m`barikiwe na watoto

Msiwapoteze wana wenu - wote mali yake Mungu