SectionsExitMtakatifu

Mtakatifu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Verse 1

Mtakatifu Bwana

Mtakatifu Bwana, Mtakatifu Bwanan(Bwana) Mungu wa majeshi x2

Mbinguni na dunia zimejaa utukufu wakonhosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) juu mbinguni.

Verse 2

Mbarikiwa ajaye kwa jina lake Bwana

Hosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) hosanna juu mbinguni x2