SectionsExitMtakatifu Monica

Mtakatifu Monica

Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Ee mama mtakatifu Monica ewe mlinzi wetu (wanao)

Wewe ndiwe mwangaza wetu ewe malkia.

Chorus

Sisi wote twakusalimu (ee mama)

Na kukupa zote heshima, kwa kuwa nasi wanao katika imani x2)

Verse 3

Kila tunapokulilia wewe kweli husikia sauti yetu mama

Hutuliza mioyo yetu na nafsi zetu hupata amani.

Verse 4

Ulikuwa mfano bora kwa wote walio na matatizo ya kijamii

Ukaonyesha maombi na uvumilivu huleta umoja

Verse 5

Kwa maisha yako ya ukinaifu wakristu wote tupate mafunzo bora,

Tuishi tukigawana Baraka tupatazo zote kwa furaha.

Verse 6

Sisi wana wa hii juia yako tunakuomba malkia utuongoze,

Tuishi katika umoja, amani na upendo kutoka kwa Mungu.