Verse 1
Katika karne ya tatu kule Italia
Italia kule Roma, kulikuwa na mfadhili Cecilia *2n
Cecilia Mtunzi wa nyimbo zetu
Cecilia Cecilia Cecilia Mama Mama Mshupavu
Chorus
Cecilia mfano kwetu sisi.
Cecilia mtumishi wa Mungu
Cecilia msimamizi wetu
Cecilia msimamizi wetu
Verse 3
Cecilia mwenye msimamo
Utuombee Mama wa imani
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Verse 4
Tunaomba mwongozo wako
Ili tuwe na nguvu dhabiti
Tueneze neon lake Mungu
Tueneze neon lake Mungun
Verse 5
Cecilia tupe ujasiri
Tuwe na ule moyo wa upendo
Tukafanye kazi yake Mungu
Tukafanye kazi yake mungu