SectionsPrayers of the FaithfulMtakatifu Bwana Mungu Wa Majeshi

Mtakatifu Bwana Mungu Wa Majeshi

Ordinary TimePrayers of the Faithful
Verse 1

Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshin([w:]) Mbingu na dunia zimejaa utukufu wakon(Alto:) Mbingu na dunia zajaa utukufu wako

Chorus

Hosanna Hosanna Hosanna *2

Kweli juu mbinguni

Verse 3

Mbarikiwa mwenye kuja kwa jina la

Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana

Alto: Mbarikiwa yeye sa-na