Msisumbuke, msisumbuke basi mkisema tule nini au tunywe nini au tuvae nini
Kwa sababu hayo yo-te mataifa huyatafuta-
Kwa sababu Baba yenu wa Mbinguni anajua kuwa mwayahitaji ha-yo yoten{Bali utafuteni kwanza, ufalme wake,
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake
Na ha-yo yote, na ha-yo yote mtazi-dishiwa mtazidishiwa } *2
Ni yu-pi kwenu ambaye akijisumbua,
Aweza kujiongeza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja
Basi ikiwa hamuwezi neno lililo dogo,
Kwa nini kujisumbua kujisumbua kwa ajili ya-yale mengine
Yatafakarini maua jinsi yameavyo,nhayatendi kazi hayatendi kazi hayatendi wa-la hayasokotinnami nawaambieni hata Suleiman katika fahari yake yote
Hakuvikwa hakuvikwa vizuri kama moja wapo ya hayo
Basi ikiwa Mungu huvika hivi majani ya kondeni
Yaliyopo leo yaliyopo leo na kesho hutupwa karibuni karibuni
Je hatawatendea nyinyi zaidi
Enyi wa imani haba imani haba enyi wa imani haba