SectionsThanksgivingMsisimko Wa Sifa

Msisimko Wa Sifa

Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Tunayapiga makofi na nyimbo za sifa,

Tunashangilia, tunafurahia

Leo tunasisimka kumshukuru Muumba

Chorus

Huo - ndio kweli, msisimko wa si-fa kweli

Pepo - na shetani wameshatimua mbi-o kweli

Tuna-lipa sifa jina lake Yesu Kri-stu kweli

Nasi - twamsifu Mungu kwa shangwe na si-fan{ Sisimka (sisimka) sisimka (sasa sisimka)

Shangilia (tuimbe wote) Jina Yesu

Tumeuona wema wake na mkono wake umetubariki } *2

Verse 3

Jua linapochomoza jogoo kawika,

Mungu katupenda, anatuamsha

Leo tunasisimka kumshukuru Muumba

Verse 4

Mvua nayo inanyesha sisi hatujui,

Imetoka wapi, mapenzi ya Mungu

Leo tunasisimka kumshukuru Muumba

Verse 5

Vyakula tunavyokula vinatupa nguvu,

Twatembea vyema, na akili nyingi

Leo tunasisimka kumshukuru Muumba

Verse 6

Majira nazo nyakati azipanga Mungu,

Sisi tunaishi, kwa mapenzi yake

Leo tunasisimka kumshukuru Muumba