SectionsThanksgivingMsifuni Bwana Enyi Mataifa

Msifuni Bwana Enyi Mataifa

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Msifuni Bwana enyi mataifa,

Mpigieni kelele za shangwe

Bwana ni Mfalme wa mataifann{ Fadhili za Bwana Bwana Mungu wetu

Fadhili za Bwana ni za milele } *2nn{ Bwana ndiye Muumba wetu, ndiye Bwana Mungu wetu

Na tumtukuze Bwana Mungu milele na hata milele } *2

Verse 2

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

Mwimbieni Bwana kwa kinanda

Imbeni kwa sauti ya shangwe, mwimbieni

Verse 3

Enyi mataifa mtukuzeni Bwana Mungu

Itangazeni sauti ya sifa zake

Verse 4

Bwana Mungu mfalme ni mkuu

Juu ya mataifa yote

Na utukufu wake ni juu ya Mbingu na nchi