SectionsThanksgivingMsifadhaike Mioyoni

Msifadhaike Mioyoni

Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,LentThanksgiving
Verse 1

Msifadhaike, mioyoni mwenu,

Mwaamini Mungu Baba Mbinguni,

Niamini na mimi *2

Chorus

Nyumbani mwa Baba, mna makao

Mkajitahidi kuomba *2n/s/ Nafasi ziko, nafasi zisingali kuweko

Ningaliwaambia leo nakwenda mimin/b/ (Kuwaandalia) kisha nitakwenda na mimi kwa Baba

Verse 3

Tomaso akamwambia, Bwana sisi hatujui uendako wewe

Nasi twaijuaje njia *2

Verse 4

Mimi ndimi njia na ukweli na uzima

Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi