Mshukuruni Mwokozi
Thanksgiving
Chorus
Mshukuruni mwokozi enyi mataifa
Pigeni vigelegele pigeni makofi *2
Tangazeni rehema zake hekaluni mwake,
Semeni ya kuwa Bwana ni mwenye adili *2n
Verse 2
Njoni tumwimbie Bwana
Mwamba wa wokovu wetu
Mikononi mwake zimo pande ya dunia.
Bahari ni yake ndiye aliyetuumba
Na mikono yake ilituumba sisin
Verse 3
Bwana ametamalaki mataifa watasema
Ameketi juu ya makerubi Mbinguni
Yeye Bwana katika zayuni ni mkuu
Katukuka juu ya mataifa yoten
Verse 4
Mshangilieni Bwana mwimbieni zaburi
Vinanda na baragumu vyote mpigieni
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa kuwa fadhili ni za milelen