SectionsThanksgivingMshukuruni Bwana

Mshukuruni Bwana

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Mshukuruni Bwana [mshukuruni]

Mshukuruni Bwana Mungunkwa kuwa yu mwema

Kwa maana fadhili zake ni za milele *2

Verse 2

Ni wa upendo [ni wa upendo]

Ni wa upendo Mungu kwa kuwa yu mwema

Kwa maana fadhili zake ni za milele *2

Verse 3

Ni wa amani…

Verse 4

Ni wa neema…

Verse 5

Ni wa huruma…