Mshipi

Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus

Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwananni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu,n{Ni Mungu ndiye anifungayenmshipi wa nguvu aha!

Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangunaha! Naye anaifanya kamilifu njia yangu } x2

Verse 2

Ni yeye Bwana aliye nguvu zangunnampenda sana ni yeye Jabali langu nanboma langu na Mwokozi wangu Mungunwangu mwamba wangu ninayemkimbilia

Ngao yangu na pembe ya wokovunwangu na ngome yangu

Verse 3

Katika shida zangu nilimwita Bwana ee

Bwana na kumlalamikia Mungu ee Mungunakaisikia sauti yangu hekaluni mwake kilionchangu kikaingia masikioni mwake

Verse 4

Bwana alinitendea sawasawa na hakinyangu akanilipa sawasawa na haki yangu

Verse 5

Nitamwita Bwana astahiliye kusifwanhivyo nitaokoka na adui zangu