SectionsExitMsamaha Ni Maua

Msamaha Ni Maua

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Pentecostal,Ordinary TimeExit
Chorus

Narudi zangu mimi kwa upatanisho

Narudi kwa amani turudiane (aiyo)

Niliyokukosea unisamehe

Na uliyonikosea nimekusamehe ndugu yangu

Chorus

Narudi zangu mimi kwa upatanisho (ninatafuta amani)

Narudi kwa amani turudiane (yelele)

Niliyokukosea unisamehe (na)

Uliyonikosea nimekusamehe ndugu yangu

Verse 3

Ubinadamu wetu ulituangushantukajeruhiana mioyo yetu (aiyeiye)

Lakini leo wangu, tufarijiane,ntuyaache ya nyuma sasa tuanze upya kabisa

Verse 4

Tulipokwaruzana, tulijichafua,

Tukampa jeuri yule muovu (aiyeiye)

Tukipatana leo ataaibika

Haya tumuaibishe sasa tuanze upya kabisa

Verse 5

Nipe mkono wako tukumbatiane

Jamii ijifunze kutoka kwetu (aiyeiye)

Sogeza shavu Basi na tunusiane;

Busu lenye amani (sasa) tuanze upya kabisa.

Verse 6

Kusameheana kunamleta Yesu katikati ya watu

Kusamehe ni maua

Kunapumzisha kunalegeza mwili kunafungua rohonkusamehe ni maua

Inapendeza sana msamaha ni maua

Inavutia sana msamha ni maua

Inapamba nafsi msamaha ni maua

Inafungua mbingu msamaha ni maua