SectionsExit Msalabani Yesu Alilia

Msalabani Yesu Alilia

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,LentExit
Chorus

Msalabani Yesu alilia

Mungu wangu mbona waniacha *2

Verse 2

Makuhani walifurahi

Bwana Yesu alipokufa

Watu wengi walisema

Maneno mengi yasiyofaa

Verse 3

Dunia yote ilitetemeka

Bwana Yesu alipokufa

Watu wengi walishtuka

Kweli huyu ni mwana wa Mungu

Verse 4

Ilipofka alasiri

Dunia yote ikawa giza

Papo hapo pazia ya hekalu

Ilipasuka vipande viwili

Verse 5

Ndugu na dada siku ya leo

Msiwe kama yule Thomaso

Amini leo na kutubu dhambi

Mtasamehewa na Bwana Yesu