Verse 1
Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchinyote, imbeni utukufu wake,ntukuzeni sifa zake Mungu mkuu.
Chorus
Mwambieni Mungu matendo yake
Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake
Mungu mkuu x2
Verse 3
Nchi yote inakusujudia na kukuimbiannaam italiimba jina lake njoni, njonintazameni matendo ya Mungu kageuzanbahari kuwa nchi kavu katika mto,nwalivuka kwa miguu.n
Huko ndiko tulikomfurahia mtawalanmilele naam atawala kwa uwezo wakennjoni, njoni sikieni ninyi wenye kumchannami nitatangaza aliyonitenda nanahimidiwe sana Mungu mkuu.