Verse 1
Leteni vipaji kwa Bwana -n
Chorus
mpeni Bwana haki yake
Verse 3
Mkate kiini cha ngano -
Divai tunda la mzabibu -
Chorus
Mpeni Mungu mali yake,nmpeni Bwana haki yake
Verse 5
Nazo nafaka za mashamba -
Na kazi ya mikono yetu -
Nayo mapato ya shughuli -n
Sisi mali yake Mungu -
Tuoe nafsi zetu kwake -
Nayo furaha na uchungu -