Chorus
{ Mmepewa bure toeni bure toeni burenmmepewa bure toeni bure toeni bure } *2n{ mmepe-wa bure , kweli mmepewa bure mmepewa burenmmepewa bure toeni bure toeni burenmmepewa bure toeni bure toeni bure } *2
Verse 2
Karama tulizo nazo zimetoka kwake Mungu
Hivyo nasi tuzitumie kwa faida yao watu wote
Verse 3
Tunapotoa kwa moyo tutapokea kwa moyonbaraka pia na neema ku-toka kwake Mungu Baba
Verse 4
Tuige mfano bora wa Mwokozi Yesu Kristo
Alijitoa sada-ka kwa ajili yetu wakosefu