SectionsExitMkono Wako Wa Kuume

Mkono Wako Wa Kuume

Ordinary Time,Christmas,Wedding,MarianExit
Chorus

{ Mkono wako wa kuume amesimama Malkia

Amevaa dhahabu ya ofiri } * 2

Verse 2

Binti za wafalme wamo mikononi mwa kina bibi wastahi

Mkono wako wa kuume amesimama Malkia

Amevaa dhahabu ya ofiri *2

Verse 3

Sikiliza binti utazame na utege sikio lako

Usahau watu wako na nyumba ya Baba yako

Na yeye mfalme atakutamani *2

Verse 4

Atapelekwa kwa mfalme na mavazi yaliyofumwa vizuri

Wanawali wenzi wake wanaomfuata kwa mfalme

Wataelekwa kwake wakamuone

Yumo ndani ana fahari tupu