SectionsEntranceMke Wako Atakuwa

Mke Wako Atakuwa

Ordinary Time,WeddingEntrance
Chorus

Mke wako atakuwa kama mti wa mzabibu,n(wenye kuzaa matunda ndani ya nyumbanyako) x2

Verse 2

Mke wako atakuwa kama mzabibu, wenyenkuzaa matunda ndani ya nyumba yako.n

Bwana atawabariki kutoka sayuni,nwamtukuze Mungu Baba daima na milele.n

Familia yenu iwe familia bora,nyenye kumcha Mungu daima na milele.