Mkate Na Divai

Ordinary Time,Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1

Mkate na divai twakutolea,

Pokea Bwana pokea

Chorus

Vipaji vyetu uvitakase

Viwe sadaka vikupendeze

Pokea Bwana pokean

Verse 3

Hivi ni vipaji ulivyotupa -

Nasi twavirudisha kwa upendo -

Verse 4

Twajitolea na sisi wenyewe -

Hata na ndugu zetu tunakupa -

Verse 5

Hizi ni zawadi twakutolea -

Zikufikie wewe huko uliko -

Verse 6

Mwisho zitusaidie na sisi -

Zikushuhudie zijapo kwako -