Misa Ya Mt.Veronica

6 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Ee Bwana (Bwana Mungu) utuhurumie (ee Bwana)nee Bwana Mungu (tuhurumie) utuhurumie (ee Bwana ee Mungu Mungu utuhurumie

Ee Yesu (Kristu) utuhurumie

Ee Yesu Kristu utuhurumie

Gloria

Glory to God

Chorus

Utukufu (juu) kwa Mungu Mbinguni

Na amani iwe kote duniani (tunakuabudu)

Chorus

Tunakusifu Bwana twakuheshimu Bwana tunakuabudu

Twakutukuza Bwana twakuheshimu Bwana

Ewe Bwana Mungu Baba mfalme wa Mbinguni

Tunakushukuru kwa utukufu mkuu, Mungu Baba Mwenyezi

Ewe Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee

Mwana kondoo Mungu uondoaye dhambi, utuhurumi-e

Uondoaye dhambi zetu utusikie,

Ewe uketiye kuume kwa Mungu Baba, utuhurumi-e

U pekee Bwana Mtakatifu na u Kristu

Pamoja naye Roho katika utukufu, wake Mungu milele

Aleluya

Alleluia

Aleluya (aleluya) aleluya (aleluya) aleluya aleluya

Chorus

Tunakusifu Bwana twakuheshimu Bwana tunakuabudu

Twakutukuza Bwana twakuheshimu Bwana

Ewe Bwana Mungu Baba mfalme wa Mbinguni

Tunakushukuru kwa utukufu mkuu, Mungu Baba Mwenyezi

Ewe Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee

Mwana kondoo Mungu uondoaye dhambi, utuhurumi-e

Uondoaye dhambi zetu utusikie,

Ewe uketiye kuume kwa Mungu Baba, utuhurumi-e

U pekee Bwana Mtakatifu na u Kristu

Pamoja naye Roho katika utukufu, wake Mungu milele

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu (Bwana Mungu) Mtakatifu (wa Majeshi) *2

Mbingu na dunia zimejaa zimejaa

Zimejaa utukufu wako Bwana

{Hosanna juu Mbinguni Hosanna Mbinguni juu Hosanna juu } *2

Amebarikiwa amebarikiwa yeye

Yeye ajaye kwa jina lake Bwana

Amen

Great Amen

Chorus

Amina (amina) amina (amina) amina amina

{Hosanna juu Mbinguni Hosanna Mbinguni juu Hosanna juu } *2

Amebarikiwa amebarikiwa yeye

Yeye ajaye kwa jina lake Bwana

Lamb of God

Agnus Dei

Ee Mwana Kondoo wa Mungu,

Unayeziondoa dhambi za dunia (dhambi zote za dunia)

Tuhurumie (tuhurumie) utuhurumie

Ee Mwana Kondoo wa Mungu,

Unayeziondoa dhambi za dunia (dhambi zote za dunia)

Tuhurumie (tuhurumie) utuhurumie

Ee Mwana Kondoo wa Mungu,

Unayeziondoa dhambi za dunia (dhambi zote za dunia)

Tupe amani (tupe amani) utupe amani