Lamb of God
Agnus Dei
Mwana Kondoo, Mwana kondoo wa Mungu(Mwana)
Unayeondoa dhambi za dunia
Mwana Kondoo, Utuhurumie
Tuhurumie Mwana,
Mwana kondoo tuhurumie.
Mwana Kondoo, Mwana kondoo wa Mungu(Mwana)
Unayeondoa dhambi za dunia
Mwana Kondoo, Utuhurumie
Tuhurumie Mwana,
Mwana kondoo tuhurumie
(Alto)
Mwana kondoo wa Mungu
Mwana kondoo wa Mungu
Unayeondoa dhambi, dhambi za dunia
(Tenor/Bass)
Mwana kondoo wa Mungu,
Unayeondoa dhambi za dunia,
Utujalie Amani,
T/B: Utujalie
S/A: Amani, Amani
T/B: Utujalie
S/A: Amani, Amani X2
ALL: Utujalie Amani, Amani.