Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
{ Bwana Bwana, Bwana utuhurumie,
Bwana utuhurumie utuhurumien(Bwana) utuhurumie, tuhurumie Bwana } *2
Kristu Kristu utuhurumie *2n{ Ewe Kristu, ewe Kristu, ewe Kristu *2
Utuhurumie (Kristu) utuhurumie, Kristu tuhurumie } *2
Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie *2
Utuhurumie Kristu utuhurumie
Bwana utuhurumie . . .
Gloria
Glory to God
Utukufu, kwa Mungu Mbinguni,
Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema
Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza
Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana)
Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbingunin(Mungu Baba) Mungu Baba Mwenyezi,
Ee Bwana Yesu (Kristu) Mwana wa pekee
Ee Bwana Mungu Mwanakondoo wa Mungu
Mwana wa Baba (Mungu) wa Mungu Mwana wa Baba
Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunian(pokea) pokea ombi letun(ewe) Mwenye kuketi kuume kwa Baba
Utuhurumie (Bwana) utuhurumie
Kwa kuwa ndiwe uliye (peke) peke yako mtakatifun(Peke) peke yako Bwana (peke) peke yako mkuun(Yesu) Yesu Kristu,
Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba
Katika utukufu, katika utukufu wa Mungu Baba
Katika utukufu wa Mungu Baban(katika) Utukufu wa Mungu amina amina
Katika utukufu wa Mungu (Baba) Amina amina
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
{Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu
Bwana Mungu wa majeshi
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi *2 } *2
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako
{ Hosana juu, hosanna juu, hosanna juu,nhosanna hosanna juu mbinguni *2
Mbarikiwa yeye ajaye, ajaye kwa jina la Bwana
Kwa jina la Bwana
Yeye ajaye kwa jina la Bwana anayekuja kwa jina la Bwana
Lamb of God
Agnus Dei
{ Mwanakondoo wa Mungu,nuondoaye dhambi za dunia utuhurumie } *2
Mwanakondoo wa Mungu uondoayen{ Mwanakondoo wa Mungu,nuondoaye dhambi za dunia utuhurumie } *2
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia
Mwanakondoo wa Mungu unayeondoa dhambi
Utujalie utujhalie utujalie utujalie
Utujalie Bwana utujalie amani