Misa Voi

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Ewe Bwana-a, Bwana, Bwana, ewe Bwana *2

Ewe Bwana-a, utuhurumie *4

Ewe Kristu-u ...

Ewe Bwana-a ...

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana

Bwana Mungu wetu, Mungu wa majeshi ii

Chorus

Hosanna, hosanna juu mbinguni

Hosanna juu mbinguni *2n

Mbinguni na duniani kumejaa kweli*2

Kumejaa kweli utukufu wako oo

Mbarikiwa mbarikiwa mbarikwa Yule *2

Yule mwenye kuja kwa jina la Bwana