Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Ee Bwana utuhurumie utuhurumie
Kristu utuhurumie utuhurumie
Ee Bwana utuhurumie utuhurumien
Gloria
Glory to God
Utukufu kwa Mungu mbinguni
Na amani duniani kwa nwenye mapenzi meman
Tunakuheshimu Tunakusifu
Twakuabudu na twakutukuzan
Tunakushukuru mfalme wa mbingu
Mwana wa pekee wa Mungu Baban
Unayeondoa makosa yetu
Utuhurumie, ‘tusikilizen
Roho Mtakatifu pamoja nawe
Ndani yake baba unatukuzwan
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu, mtakatifu
Bwana Mungu wa majeshi,
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wakon
Hosanna *3 hosana juu mbinguni
Mbarikiwa mwenye kuja
Kwa jina, jina lake Bwanan
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie *2n n
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utupe utupe amani n
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie *2n n
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utupe utupe amani n
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie *2n
Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za ulimwengu, utupe utupe amani n