Misa Upendo

3 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana Bwana utuhurumie,

Ee eh Bwana utuhurumie

Ee Bwana, (ee Bwana)nee Bwana (ee Bwana)

Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana *2

/b/ Ee Bwana Bwana, ee Bwana Bwana

Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana

/s/ Kristu u Kristu utuhurumie , Kri-stu utuhurumien/a/ Kristu Kristu utuhurumie. ee kri-stu utuhurumien/t/ (Ee Kristu, ee Kristu Kristu

Eee Kristu kri-stu utuhurumien/b/ Ewe Kristu Kristu u Kristu Kristu

Kri - stu (Kristu) utuhurumie

Bwana Bwana utuhurumie . . .

Gloria

Glory to God

Chorus

{ Utukufu kwa Mungu juu, utukufu

Na amani duniani

Kwa watu wote wenye mapenzi (mema)

Kwa watu wote wenye mapenzi

Mapenzi mema (utukufu) } *2

Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu tunakutukuza

Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu

Ee Bwana Mungu, Mfalme wa Mbinguni

Mu-ngu Baba, Mungu mwenye enzi,

Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee,

Ee Bwana Mungu, ee Bwana Mungu

Mwanakondoo mwana wake Baba, uondoaye dhambi za dunia

Utuhurumie utuhurumie, pokea ombi letu ee Baba

Mwenye kuketi kuume kwa Baba,

Tuhurumie utuhurumie

Kwa kuwa kwa kuwa, ndiwe peke yako,

Mtakatifu mtakatifu

Pekee Bwana mkuu Yesu Kristu, pamoja naye Roho Mtakatifu

Katika katika utukufu wake, Mu-ngu Baba a-mina.

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu mtakatifu Bwana

Mungu wa majeshi Mungu wa majeshi

Mbingu na dunia zimejaa, utukufu wako

Hosanna (hosanna) hosanna (hosanna)

Juu mbinguni

Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana