Misa Ulinzi

4 sections

Lamb of God

Agnus Dei

Ee mwana kondoo wa Mungu

Uondoaye dhambi za ulimwengu utuhurumie *2n

Ee mwana kondoo wa Mungu

Uondoaye dhambi za ulimwengu, utujalie amanin

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu juu mbinguni na

Amani iwe kwao wnye mapenzi meman

Chorus

Tunakusifu tunakuheshimu

Twakuabudu na kukutukuzan

Twakushukuru mwenye utukufu, mfalme

Wa mbingu, Mungu Baba yetun

Ee Bwana Yesu mwana wa pekee, uliye

Mwana kondoo wa Mungun

Mwenye kufuta dhambi za dunia

Utuhurumie, utusikilizen

Pamoja na Roho Mtakatifu,n katika utukufu wake Baaban

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana, ee Bwana, Bwana ee Bwana

Bwana, ee Bwana, Bwana utuhurumien

Kristu, ee Kristu kristu, ‘tuhurumie

Kristu, ee Kristu, ‘tuhurumie

Tunakuomba kristu, ‘tuhurumien

Bwana, ee Bwana, Bwana ee Bwana

Bwana, ee Bwana, Bwana utuhurumie

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu Bwana, Mtakatifu Bwana

Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi, wa majeshin

Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako

Chorus

Hosanna *6 hosana juu mbinguni

Mbarikiwa yeye yule mwenye kuja

Kwa jina lake Bwanan