Misa Taita

4 sections

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana Mwana kondoo wa Mungu

Uondoaye Uondoaye

Dhambi za ulimwengu - Dhambi za ulimwengu

Utuhurumie utuhurumie *2

Mwana Mwana kondoo wa Mungu

Uondoaye Uondoaye

Dhambi za ulimwengu - Dhambi za ulimwengu

Utujalie amani Utujalie amani

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana Bwana Utuhurumie -

Bwana, Bwana Utuhurumie

Ee Bwana, ee

Ee Bwana, ee

Ee Bwana, utuhurumie

Kristu, Kristu utuhurumie -

Kristu, Kristu utuhurumie

Ee Kristu ee

Ee Kristu ee

Ee Kristu Utuhurumie

Bwana Bwana Utuhurumie -

Bwana, Bwana Utuhurumie

Ee Bwana, ee

Ee Bwana, ee

Ee Bwana, utuhurumie

Gloria

Glory to God

‘Tukufu, ‘Tukukufu kwa Mungu Juu.

Amani! Na amani duniani

Kwa watu wenye mapenzi - wenyenmapenzi mema *2

A-ma-ni!

Sifa, Sisi tunakusifu

Heshima! Sisi tunakuheshimu

Tunakuabudu - Sisi tunakuabudu. *2

He-shi-ma!

‘Tukufu, Sisi tunakutukuza

Shukrani Sisi tunakushukuru

Kwa ‘jili ya utukufu -

Utukufu wako mkuu *2

Shu-kra-ni!

Ee Mungu, Ee Bwana Mungu

Ee Baba Mfalme wa mbinguni.

Ee Mungu Baba - Mungu Baba

Mwenyezi *2

Ee Ba-ba!

Ee Bwana, Ee Bwana Yesu Kristu

Ee Mwana Kristu Mwana wa pekee

Mwana wa Baba - Mwanakondoo wa

Mungu *2

Ee Mwa-na!

Mwokozi Mwenye kuondoa dhambi.

Huruma! Dhambi za dunia

Utuhurumie - Pokea ombi letu *2

Hu-ru-ma!

Ee Yesu Kwani ndiwe Mtakatifu

Ee Kristu Kwani ndiwe Bwana.

Ee Yesu Kristu - Ndiwe peke yako Mkuu! *2

Ee Kri-stu!

Umoja, Pamoja na Roho Mtakatifu.

Milele! Katika utukufu,n‘Tukufu wa Mungu Baba - Kristu anaishi *3

Mi-le-le

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu Bwana Mungu wetu -

Ee Hosana juu!

Mtakatifu Bwana Mungu wetu -

Ee Hosana juu!

Mtakatifu Bwana Mungu wetu -

Ee Hosana juu!

Mbinguni - Mbinguni

Utukuzwe Bwana Mungu - Ee!

Mungu Muumba wetu - Ee!

Mbingu na dunia zimejaa - Ee! Ee! Ee!

Utukufu wako - Ee!

Ee, Ee, mbinguni - Ee,Hosana juunmbinguni

Utukuzwe Bwana Mungu - Ee!

Mungu Mkombozi wetu - Ee!

Uliangamiza mauti ukaleta - Ee! Ee! Ee!

Uzima mpya - Ee!

Ee, Ee, mbinguni - Ee, Hosana juu mbinguni

Utukuzwe Bwana Mungu - Ee!

Mungu mfariji wetu - Ee!

Ulimtuma Roho kwetu tuwe - Ee! Ee! Ee!

Sote mwili mmoja - Ee!

Ee, Ee, mbinguni - Ee, Hosana juu mbinguni